

35 Mtu mwema hutoa yaliyo mema kutokana na hazina ya wema uliohifadhiwa ndani yake na mtu mwovu hutoa yaliyo maovu kutokana na hazina ya uovu uliohifadhiwa ndani yake.ģ6 “Nawaambia hakika, siku ya hukumu watu watatakiwa kujieleza kuhusu kila neno lisilo la maana walilolisema. 34 Ninyi uzao wa nyoka! Mnawe zaje kunena mema wakati ninyi ni waovu? Kwa maana mtu husema yaliyojaa moyoni mwake. Kwa maana mti hutambulikana kwa matunda yake. 31 Kwa hiyo nawaambieni, watu watasamehewa kila aina ya dhambi na kufuru lakini mtu ata kayemkufuru Roho Mtakatifu hatasamehewa.ģ2 “Na mtu atakayesema neno kumpinga Mwana wa Adamu ata samehewa, lakini ye yote atakayempinga Roho Mtakatifu hatasame hewa, katika ulimwengu huu wala katika ulimwengu ujao.” Maneno Huonyesha Hali Ya Moyoģ3 “Ili upate matunda mazuri lazima uwe na mti mzuri ukiwa na mti mbaya na matunda yake yatakuwa mabaya. 29 Au inawezekanaje mtu kuivamia nyumba ya mtu mwenye nguvu na kumnyang’anya mali yake yote pasipo kwanza kumfunga yule mwenye nguvu? Akisha mfunga ndipo hakika anaweza kupora mali yake.ģ0 “Mtu asiyekuwa pamoja nami ananipinga na mtu ambaye hakusanyi pamoja nami, anatawanya. 28 Lakini kama ninatoa pepo kwa nguvu za Roho wa Mungu, basi Ufalme wa Mungu umekwisha kuwafikia. Basi ufalme wake utaendeleaje? 27 Na kama mimi hutoa pepo kwa nguvu za Beelzebuli, watu wenu je, wao hutoa pepo kwa uwezo wa nani? Wao ndio watakaowaamulia. 26 Na kama shetani anamfukuza shetani, atakuwa amega wanyika yeye mwenyewe. Hali kadhalika mji wo wote au jamaa ye yote iliyogawanyika yenyewe kwa yenyewe haitadumu. 23 Watu wote wakashangaa wakaulizana, “Je, yawezekana huyu ndiye Mwana wa Daudi?” 24 Lakini Mafarisayo waliposikia haya wakasema, “Mtu huyu anatoa pepo kwa uwezo wa Beelzebuli, mfalme wa pepo wote.”Ģ5 Yesu alifahamu mawazo yao, akawaambia, “Utawala wo wote ambao umegawanyika wenyewe kwa wenyewe utaanguka. 20 Hataponda unyasi uliochubuliwa wala hatazima mshumaa unaokaribia kuzima, mpaka atakapoifanya haki ipate ushindi 21 na watu wa mataifa wataweka tumaini lao katika jina lake.” Yesu Na BeelzebuliĢ2 Kisha wakamletea kipofu mmoja ambaye pia alikuwa bubu na amepagawa na pepo. 19 Hatabishana wala hatapiga kelele, sauti yake haitasikika mitaani. Nitaweka Roho yangu juu yake, naye atatangaza haki kwa watu wa mataifa. 17 Hii ilikuwa ili yatimie maneno aliyosema nabii Isaya: 18 “Mtazameni mtumishi wangu niliyemchagua, mpendwa wangu ambaye moyo wangu unapendezwa naye. Na watu wengi walimfuata naye akawaponya wote. 14 Lakini Mafarisayo wakatoka nje wakashauriana jinsi ya kumwangamiza Mtumishi Aliyechaguliwa Na Munguġ5 Lakini Yesu akiyafahamu mawazo yao, aliondoka mahali hapo. Kwa hiyo ni halali kutenda mema siku ya sabato.”ġ3 Ndipo akamwambia yule mtu, “Nyoosha mkono wako.” Akau nyoosha, nao ukapona ukawa mzima kama ule mwingine. 10 Wakitafuta sababu ya kumsh taki, wakamwuliza, “Je, ni halali kuponya siku ya sabato?” 11 Yesu akawajibu, “Ni nani kati yenu ambaye kondoo wake aki tumbukia shimoni siku ya sabato hatamtoa? 12 Mtu ana thamani kubwa sana kuliko kondoo. 7 Na kama mngalifahamu maana ya maneno haya, ‘Ninataka rehema wala si sadaka ya kuteketezwa ’ msingeliwalaumu watu wasio na hatia, 8 kwa maana Mwana wa Adamu ni Bwana wa sabato.” Yesu Anamponya Mtu Aliyepooza Mkonoĩ Yesu alipoondoka hapo, aliingia katika sinagogi lao. 5 Au hamjasoma katika sheria kwamba siku ya sabato makuhani huvunja sheria ya sabato Hekaluni lakini hawahesabiwi kuwa na hatia? 6 Nawaambieni wazi kwamba, aliye mkuu kuliko Hekalu yupo hapa. 2 Lakini Mafarisayo walipoona jambo hili wakam wambia, “Tazama! Wanafunzi wako wanafanya jambo lisilo halali kufanya siku ya sabato.”ģ Yesu akawajibu, “Hamjasoma walichofanya Daudi na wafuasi wake walipokuwa na njaa? 4 Waliingia katika nyumba ya Mungu wakala mkate uliowekwa wakfu, jambo ambalo halikuwa halali kwao kufanya isipokuwa makuhani peke yao.

Wanafunzi wake walikuwa na njaa, wakaanza kuvunja masuke ya ngano na kula. 12 Wakati huo Yesu alipitia kwenye mashamba ya ngano siku ya sabato.
